15 – Tabia njema
Msichana wa Kiislamu! Jipambe kwa maadili mema na matukufu ya Kiislamu. Hakika mtu mwenye maadili mema anapendeza mbele ya Allaah na mbele ya waja Wake. Hakika kwa tabia yake njema anapata nafasi ya juu Peponi. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
”Hakika aliye karibu zaidi kwangu kingazi katika nyinyi siku ya Qiyaamah ni yule mbora wenu zaidi wa maadili.”
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 20
15 – Tabia njema
Msichana wa Kiislamu! Jipambe kwa maadili mema na matukufu ya Kiislamu. Hakika mtu mwenye maadili mema anapendeza mbele ya Allaah na mbele ya waja Wake. Hakika kwa tabia yake njema anapata nafasi ya juu Peponi. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
”Hakika aliye karibu zaidi kwangu kingazi katika nyinyi siku ya Qiyaamah ni yule mbora wenu zaidi wa maadili.”
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 20
https://firqatunnajia.com/15-maadili-mema/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket