15. Hadiyth “Je, nisikujuzeni juu ya kitu ambacho Allaah kwacho anasamehe makosa… “

311 – Ibn Maajah ameipokea pia kupitia kwa Abu Sa´iyd al-Khudriy kwa tamko linalosema:

ألا أدلّكم على ما يُكَفِّرُ الله به الخطايا، ويرفع به الدرجات؟

قالوا: بلى يا رسول الله! قال:”  إسباغُ الوضوء على المكاره، وكَثرةُ الخُطا إلى المساجد، وانتظارُ الصلاةِ بعد الصلاةِ، فذلِكم الرباطُ، فذلِكم الرباطُ، فذلِكم الرباطُ

“Je, nisikujuzeni juu ya kitu ambacho Allaah kwacho anasamehe makosa na ananyanyua daraja?” Wakaema: “Bila shaka, ee Mtume wa Allaah.” Akasema: “Kueneza vizuri wudhuu´ wakati wa machukizo, hatua nyingi kwenda msikitini na kusubiri swalah nyingine baada ya swalah kumalizika.”[1]

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/245)
  • Imechapishwa: 02/12/2022
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy