“Hakuna muislamu atakayetawadha ambapo akaeneza vizuri wudhuu´ kisha akasimama katika swalah yake na akajua atakayoyasema, isipokuwa atamaliza akiwa msafi kabisa kama siku ile aliyomzaa mama yake.”
Ameipokea Muslim, Abu Daawuud, an-Nasaa’iy, Ibn Maajah, Ibn Khuzaymah na al-Haakim ambaye tamko ni lake na akasema:
“Ni yenye cheni ya wapokezi Swahiyh.”
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/195)
- Imechapishwa: 15/04/2021
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
“Hakuna muislamu atakayetawadha ambapo akaeneza vizuri wudhuu´ kisha akasimama katika swalah yake na akajua atakayoyasema, isipokuwa atamaliza akiwa msafi kabisa kama siku ile aliyomzaa mama yake.”
Ameipokea Muslim, Abu Daawuud, an-Nasaa’iy, Ibn Maajah, Ibn Khuzaymah na al-Haakim ambaye tamko ni lake na akasema:
“Ni yenye cheni ya wapokezi Swahiyh.”
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/195)
Imechapishwa: 15/04/2021
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/15-hadiyth-hakuna-muislamu-atakayetawadha/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)