Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
113 – Kushindana kwa imani kati yao kunakuja katika khofu, kumcha Allaah, kuyaepuka matamanio na kulazimiana kufuata kilicho na haki zaidi.
MAELEZO
Haitoshi. Kwa sababu hiyo maana yake ni kuyaondosha matendo katika imani, na kwamba muda kuwa anasadikisha moyoni mwake na anatamka kwa ulimi basi ni muumini mwenye imani kamilifu. Isitoshe watu hawatofautiani katika jambo hilo. Hili ni kosa kubwa. Kwa sababu kushindana kunapatikana kutokana na tuliyoyataja na pia kwa matendo mema.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Ta´liyqaat al-Mukhtaswarah ´alaal-´Aqiydah at-Twahaawiyyah, uk. 151
- Imechapishwa: 20/11/2024
Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
113 – Kushindana kwa imani kati yao kunakuja katika khofu, kumcha Allaah, kuyaepuka matamanio na kulazimiana kufuata kilicho na haki zaidi.
MAELEZO
Haitoshi. Kwa sababu hiyo maana yake ni kuyaondosha matendo katika imani, na kwamba muda kuwa anasadikisha moyoni mwake na anatamka kwa ulimi basi ni muumini mwenye imani kamilifu. Isitoshe watu hawatofautiani katika jambo hilo. Hili ni kosa kubwa. Kwa sababu kushindana kunapatikana kutokana na tuliyoyataja na pia kwa matendo mema.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Ta´liyqaat al-Mukhtaswarah ´alaal-´Aqiydah at-Twahaawiyyah, uk. 151
Imechapishwa: 20/11/2024
https://firqatunnajia.com/141-ni-kosa-kubwa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)