Swali 14: Je, nia ni sharti ya kufaa kukusanya? Inatokea mara nyingi watu wanaswali mkusanyiko wa Maghrib pasi na nia ya kukusanya na baada ya swalah ya Maghrib waswaliji wanashauriana kisha wanaswali ´Ishaa[1]?
Jibu: Wanazuoni wametofautiana juu ya jambo hilo. Maoni yaliyo na nguvu ni kwamba nia sio sharti wakati wa kufungua swalah ya kwanza. Bali inafaa kukusanya baada ya kumaliza kuswali swalah ya kwanza kukipatikana sharti yake ambayo ni khofu, maradhi au mvua.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (10/425).
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Musaafir, uk. 30
- Imechapishwa: 27/02/2022
Swali 14: Je, nia ni sharti ya kufaa kukusanya? Inatokea mara nyingi watu wanaswali mkusanyiko wa Maghrib pasi na nia ya kukusanya na baada ya swalah ya Maghrib waswaliji wanashauriana kisha wanaswali ´Ishaa[1]?
Jibu: Wanazuoni wametofautiana juu ya jambo hilo. Maoni yaliyo na nguvu ni kwamba nia sio sharti wakati wa kufungua swalah ya kwanza. Bali inafaa kukusanya baada ya kumaliza kuswali swalah ya kwanza kukipatikana sharti yake ambayo ni khofu, maradhi au mvua.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (10/425).
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ahkaam-ul-Musaafir, uk. 30
Imechapishwa: 27/02/2022
https://firqatunnajia.com/14-je-nia-ni-sharti-ya-kufaa-kukusanya/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)