5 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Punguzeni masharubu na ziacheni ndevu na jitofautisheni na waabudia moto.”[1]
[1] Muslim, Abu ´Awaanah, al-Bayhaqiy na Ahmad kupiita kwa al-´Alaa’ bin ´Abdir-Rahmaan, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Hurayrah. Imesimuliwa pia na Anas. al-Haythamiy ameitaja na akasema:
”Ameipokea al-Bazzaar. Cheni ya wapokezi iko na al-Hasan bin Ja´far ambaye ni mnyonge na ameachwa.” (Majma´-uz-Zawaa’id (5/166))
at-Twahaawiy pia ameipokea kupitia njia nyingine ambayo nayo ni dhaifu.
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 186-187
- Imechapishwa: 14/11/2023
5 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Punguzeni masharubu na ziacheni ndevu na jitofautisheni na waabudia moto.”[1]
[1] Muslim, Abu ´Awaanah, al-Bayhaqiy na Ahmad kupiita kwa al-´Alaa’ bin ´Abdir-Rahmaan, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Hurayrah. Imesimuliwa pia na Anas. al-Haythamiy ameitaja na akasema:
”Ameipokea al-Bazzaar. Cheni ya wapokezi iko na al-Hasan bin Ja´far ambaye ni mnyonge na ameachwa.” (Majma´-uz-Zawaa’id (5/166))
at-Twahaawiy pia ameipokea kupitia njia nyingine ambayo nayo ni dhaifu.
Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 186-187
Imechapishwa: 14/11/2023
https://firqatunnajia.com/130-waislamu-wanakata-masharubu-na-wanafuga-ndevu-zao/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)