Miongoni mwa hayo pia ni kuwa msafiri ameruhusiwa kuunganisha swalah mbili wakati wa udhuru na wakati inakuwa vigumu kuswali kila swalah ndani ya wakati wake, kama vile kuendelea na safari bila kusimama au ugumu wa kushuka. Basi anapokuwa amekaa mahali kwa siku mbili au tatu au hata siku moja tu, basi hakuna haja ya kuunganisha swalah mbili kwa sababu anaweza kuziswali kila moja ndani ya wakati wake bila mashaka yoyote. Hivyo kuunganisha si Sunnah ya kudumu, kama wanavyodhani wengi miongoni mwa wasafiri kwamba Sunnah ya safari ni kukusanya swalah, iwepo dharurah au hapana. Bali kuunganisha ni ruhusa na kupunguza ni Sunnah ya kudumu. Basi Sunnah ya msafiri ni kuswali swalah za Rak´ah nne kuzipunguza kuwa Rak´ah mbili, awe na udhuru au asiwe nao. Ama kuunganisha kati ya swalah mbili ni kutokana na haja na ruhusa. Hivyo basi hili ni jambo moja na lile ni jambo jingine.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Abiy Bakr bin Qayyim-il-Jawziyyah (afk. 751)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Waabil as-Swayyib wa Raafi´-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 27-28
- Imechapishwa: 30/07/2025
Miongoni mwa hayo pia ni kuwa msafiri ameruhusiwa kuunganisha swalah mbili wakati wa udhuru na wakati inakuwa vigumu kuswali kila swalah ndani ya wakati wake, kama vile kuendelea na safari bila kusimama au ugumu wa kushuka. Basi anapokuwa amekaa mahali kwa siku mbili au tatu au hata siku moja tu, basi hakuna haja ya kuunganisha swalah mbili kwa sababu anaweza kuziswali kila moja ndani ya wakati wake bila mashaka yoyote. Hivyo kuunganisha si Sunnah ya kudumu, kama wanavyodhani wengi miongoni mwa wasafiri kwamba Sunnah ya safari ni kukusanya swalah, iwepo dharurah au hapana. Bali kuunganisha ni ruhusa na kupunguza ni Sunnah ya kudumu. Basi Sunnah ya msafiri ni kuswali swalah za Rak´ah nne kuzipunguza kuwa Rak´ah mbili, awe na udhuru au asiwe nao. Ama kuunganisha kati ya swalah mbili ni kutokana na haja na ruhusa. Hivyo basi hili ni jambo moja na lile ni jambo jingine.
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Abiy Bakr bin Qayyim-il-Jawziyyah (afk. 751)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Waabil as-Swayyib wa Raafi´-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 27-28
Imechapishwa: 30/07/2025
https://firqatunnajia.com/13-tofauti-baina-ya-kufupisha-swalah-na-kukusanya-swalah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket