126. Kinachosemwa wakati wa mfazaiko

  Download

245-

لا إِلهَ إلاَّ اللهُ

”Hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah.”[1]

[1] al-Bukhaariy pamoja na al-Fath (06/181) na Muslim (04/2208).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 09/05/2020