124. Anachofanya na kusmea anayesikia maumivu mwilini

  Download

243- Weka mkono wako katika kile kiungo kinachokuuma katika mwili wako kisha useme:

بِسْمِ الله

“Kwa jina la Allaah.”

mara tatu. Kisha useme:

أَعُوذُ بِاللَّهِ وَقُدْرَتِهِ مِنْ شَرِّ مَا أَجِدُ وَأُحَاذِرُ

“Najilinda kwa Allaah na kwa uwezo Wake kutokamana na shari ya ninachokihisi na ninachokitahadhari nacho.”[1]

[1] Muslim (03/1728).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 09/05/2020