123. Anachofanya aliyefikiwa na jambo la kufurahisha

  Download

“Alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anapofikiwa na jambo la kumfurahisha basi hushuka chini akisujudu akimshukuru Allaah (Tabaarak wa Ta´ala).”[1]

[1] Watunzi wa ”as-Sunan” isipokuwa an-Nasaa´iy. Tazama “Swahiyh Ibn Maajah” (01/233) na “Irwaa´-ul-Ghaliyl” (02/226).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 09/05/2020