122. Du´aa ya kushangazwa na jambo la kufurahisha

  Download

140-

سُـبْحانَ الله

”Allaah ametakasika kutokamana na mapungufu.”[1]

141-

اللهُ أَكْبرُ

“Allaah ni mkubwa.”[2]

[1] al-Bukhaariy pamoja na al-Fath (01/210) na Muslim (04/1857).

[2] al-Bukhaariy pamoja na al-Fath (08/441). Tazama ”Swahiyh-ut-Tirmidhiy” (02/103) na (02/235) na ”Musnad” ya Ahmad (05/218).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 09/05/2020