238-
Alipanda (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimpanda ngamia wake mpaka akafika al-Mash´ar al-Haram ambapo akaelekea Qiblah, akamuomba, akaleta Takbiyr, akaleta Tahliyl na akampwekesha. Hakuacha kuendelea kusimama mpaka kulipopambazuka ndipo alipoondoka kabla ya kuchomoza kwa jua.”[1]
[1] Muslim (02/891).
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 09/05/2020