Swali 12: Je, makundi haya yanaingia ndani ya yale mapote sabini na mbili yaliyoangamia?
Jibu: Ndio, kila mwenye kujinasibisha na Uislamu na akaenda kinyume na Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah katika ulinganizi, ´Aqiydah au kitu kingine katika misingi ya imani basi anaingia ndani ya yale mapote sabini na mbili. Wanajumuishwa na matishio. Wanasimangwa na kuadhibiwa kwa kiwango cha uhalifu wao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Ajwibah al-Mufiydah ´an As-ilat-il-Manaahij al-Jadiydah, uk. 35
- Imechapishwa: 08/04/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)