12 – Kuwaunga ndugu

Binti wa Kiislamu! Pupia kuwaunga jamaa, kwani ni miongoni mwa ´ibaadah kuu. Kuwa ni nguzo ya ujenzi katika familia na kwenye familia nzima. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

”Yule anayetaka kukunjuliwa riziki yake na kurefushiwa maisha basi awaunge ndugu zake.”

Ameipokea al-Bukhaariy na Muslim.

  • Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 19
  • Imechapishwa: 11/02/2026