235-
رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الْآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ
“Mola wetu, Tupe katika mazuri ya dunia na mazuri ya Aakhirah na tulinde na adhabu ya Moto.”[1]
[1] 2:201 Abu Daawuud (02/179), Ahmad (03/411) na al-Baghaawiy katika ”Sharh-us-Sunnah” (07/128). Ni nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Abiy Daawuud” (01/354).
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 08/05/2020