115. Namna Muhrim anavoleta Talbiyah katika Hajj na ´Umrah

  Download

233-

لَبَّيْكَ اللَّهُمَّ لَبَّيْكَ، لَبَّيْكَ لا شَرِيكَ لَكَ لَبَّيْكَ، إنَّ الْحَمْدَ، وَالنِّعْمَةَ ،لَكَ وَالْمُلْكُ، لا شَرِيكَ لَكَ

”Nimekuitikia, ee Allaah, nimekuitikia. Nimekuitikia, huna mshirika, nimekuitikia. Hakika himdi zote njema, neema na ufalme ni Vyako. Huna mshirika.”[1]

[1] al-Bukhaariy pamoja na al-Fath (03/408) na Muslim (02/841).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 07/05/2020