231-
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mmoja wenu akilazimika kumsifu rafiki yake basi aseme:
أَحْسِبُ فُلَانًا وَاللَّهُ حَسِيبُهُ وَلَا أُزَكِّي عَلَى اللَّهِ أَحَدًا أَحْسِبُهُ
”Namdhania fulani vyema na Allaah ndiye atakayemuhesabu. Simtakasi yeyote mbele ya Allaah.”
Namdhania hivo ikiwa anajua jambo hilo.”[1]
[1] Muslim (04/2296).
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 07/05/2020