112. Du´aa ya kumuombea uliyemtukana

  Download

230-

Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

اللَّهُمَّ فَأَيُّمَا مُؤْمِنٍ سَبَبْتُهُ فَاجْعَلْ ذَلِكَ لَهُ قُرْبَةً إِلَيْكَ يَوْمَ الْقِيَامَة

“Ee Allaah! Muislamu yeyote yule niliyemtukana, basi nakuomba ufanye jambo hilo liwe ni lenye kumkurubisha Kwako siku ya Qiyaamah.”[1]

[1] al-Bukhaariy pamoja na al-Fath (11/171) na Muslim (04/2007) na tamko ni imekuja:

فاجعلها له زكاةً ورحمةً

“Basi ifanye kwake iwe kutakaswa na kuonewa huruma.”

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 07/05/2020