Swali: Je, tende zinasihi kama kafara ya kiapo?

Jibu: Allaah (Ta´ala) amesema:

فَكَفَّارَتُهُ إِطْعَامُ عَشَرَةِ مَسَاكِينَ مِنْ أَوْسَطِ مَا تُطْعِمُونَ أَهْلِيكُمْ

“Hivyo basi, kafara yake ni kulisha maskini kumi chakula cha katikati mnachowalisha familia zenu.” (05:89)

Ngani ni chakula na tende ni chakula kisichokuwa na utata wowote juu yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/هل-التمر-يجزئ-ككفارة-يمين
  • Imechapishwa: 11/06/2022