229-
“Mkisikia kubweka kwa mbwa na mlio wa mbwa usiku, basi takeni ulinzi kwa Allaah kutokamana na shaytwaan. Hakika wanaona kile msichokiona.”[1]
[1] Abu Daawuud (04/327) na Ahmad (03/306). Ni Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Abiy Daawuud” (03/961).
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 07/05/2020