110. Du´aa wakati wa kusikia uikaji wa jogoo na mlio wa punda

  Download

228-

“Mkisikia kuwika kwa jogoo, basi mwombeni Allaah kutoka katika fadhilah. Kwani hakika amemuona Malaika. Na mkisikia mlio wa punda, basi takeni ulinzi kwa Allaah kutokamana na shaytwaan. Kwani hakika amemuona shaytwaan.”[1]

[1] al-Bukhaariy pamoja na al-Fath (06/350) na Muslim (04/2092).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 07/05/2020