Swali: Mtu akilala kwa muda mrefu na pambezoni mwake kuna mwanaume aliyemacho aliyemwambia kuwa hakutokwa na kitu – wudhuu´ wake umetenguka?

Jibu: Yeye amejuaje kama hakutokwa na kitu?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Imechapishwa: 31/10/2016