Swali: Mara nyingi plasta inafunika zaidi ya kiungo kinachohitajika. Mtu afanye nini?

Jibu: Daktari hakuiweka isipokuwa ameona kuwa inahitajika. Daktari ana uzoefu wa haya. Ameiweka kwa kuwa ameona kuwa kuna haja. Kupanguswe juu yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Imechapishwa: 31/10/2016