Swali 102: Salaf wamewasema kwa ubaya wapiga visa. Ni upi mfumo wao? Tunatakiwa kuwa na msimamo upi juu yao?
Jibu: Salaf (Rahimahumu Allaah) wametahadharisha wapiga vita kwa sababu mara nyingi katika maneno yao wanajaribu kuwaathiri watu na visa ambapo havikusihi. Hawategemei dalili sahihi. Hawatilii uzito kuwafunza watu hukumu za dini na ´Aqiydah yao. Kwa sababu hawana uelewa. Leo wanawakilishwa na Jamaa´at-ut-Tabliygh na mfumo wao unaotambulika pamoja na ule usufi na ukhurafi walionao. Mara nyingi wapiga visa hutegemea maandiko ya makemeo ambapo wanawakatisha tamaa watu na rehema za Allaah (Ta´ala).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Ajwibah al-Mufiydah ´an As-ilat-il-Manaahij al-Jadiydah, uk. 238-242
- Imechapishwa: 13/08/2024
- Taaliki: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)