98 – Wakati Masruuq alipokuwa akihadithia kutoka kwa ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) alikuwa daima akisema:
”Amenihadithia mwanamke mkweli, mtoto wa mwanaume mkweli, mpenzi wa mpenzi wa Allaah, mwanamke aliyetakaswa kutoka juu ya mbingu ya saba.”[1]
Cheni ya wapokezi ni Swahiyh.
[1] Ibn-ul-Qayyim pia ameisahihisha katika “Ijtimaa´-ul-Juyuush al-Islaamiyyah”, uk. 102, bila ya kutaja vyanzo vyake. Katika cheni ya wapokezi kuna bwana mmoja ambaye hakutajwa jina, lakini ameelezwa kuwa ni mwenye kuaminika – na Allaah ndiye mjuzi zaidi.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 121-122
- Imechapishwa: 12/07/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
98 – Wakati Masruuq alipokuwa akihadithia kutoka kwa ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) alikuwa daima akisema:
”Amenihadithia mwanamke mkweli, mtoto wa mwanaume mkweli, mpenzi wa mpenzi wa Allaah, mwanamke aliyetakaswa kutoka juu ya mbingu ya saba.”[1]
Cheni ya wapokezi ni Swahiyh.
[1] Ibn-ul-Qayyim pia ameisahihisha katika “Ijtimaa´-ul-Juyuush al-Islaamiyyah”, uk. 102, bila ya kutaja vyanzo vyake. Katika cheni ya wapokezi kuna bwana mmoja ambaye hakutajwa jina, lakini ameelezwa kuwa ni mwenye kuaminika – na Allaah ndiye mjuzi zaidi.
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 121-122
Imechapishwa: 12/07/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/101-mwanamke-aliyetakaswa-kutoka-juu-ya-mbingu-ya-saba/