99 – ´Ubayd bin ´Umayr amesema:
”Mola (´Azza wa Jall) hushuka usiku wa manane katika mbingu ya chini na akasema: ”Ni nani anayeniomba Nimpe? Ni nani aniombae msamaha nimghufurie?” Wakati kunapoingia alfajiri basi Mola (´Azza wa Jall) hupanda juu.”
Ameipokea ´Abdullaah bin Ahmad katika kitabu chake ”ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah”.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 122
- Imechapishwa: 12/07/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
99 – ´Ubayd bin ´Umayr amesema:
”Mola (´Azza wa Jall) hushuka usiku wa manane katika mbingu ya chini na akasema: ”Ni nani anayeniomba Nimpe? Ni nani aniombae msamaha nimghufurie?” Wakati kunapoingia alfajiri basi Mola (´Azza wa Jall) hupanda juu.”
Ameipokea ´Abdullaah bin Ahmad katika kitabu chake ”ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah”.
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 122
Imechapishwa: 12/07/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/102-hapa-ndipo-hushuka-mola-hapa-ndipo-hupanda-juu-mola/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)