10 – Binti wa Kiislamu! Jikurubishe kwa Allaah kwa mambo ya faradhi, yanayopendeza na aina mbalimbali za ´ibaadah na hivyo utapata ujira mkubwa na utapanda katika ngazi za juu na utakuwa ni miongoni mwa wapenzi wa Allaah ambao:
لَا خَوْفٌ عَلَيْكُمُ الْيَوْمَ وَلَا أَنتُمْ تَحْزَنُونَ
”Hakuna khofu juu yenu leo na wala nyinyi hamtohuzunika.”[1]
[1] 43:68
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 18
- Imechapishwa: 10/02/2026
10 – Binti wa Kiislamu! Jikurubishe kwa Allaah kwa mambo ya faradhi, yanayopendeza na aina mbalimbali za ´ibaadah na hivyo utapata ujira mkubwa na utapanda katika ngazi za juu na utakuwa ni miongoni mwa wapenzi wa Allaah ambao:
لَا خَوْفٌ عَلَيْكُمُ الْيَوْمَ وَلَا أَنتُمْ تَحْزَنُونَ
”Hakuna khofu juu yenu leo na wala nyinyi hamtohuzunika.”[1]
[1] 43:68
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 18
Imechapishwa: 10/02/2026
https://firqatunnajia.com/10-tafuta-ukaribu-kwa-allaah/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket