132- ´Imraan bin Huswayn (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kikubwa ninachochelea juu yenu baada ya kuondoka kwangu ni kila mnafiki mfaswaha wa ulimi.”[1]
Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Kabiyr” na al-Bazzaar.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/164)
- Imechapishwa: 05/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
132- ´Imraan bin Huswayn (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kikubwa ninachochelea juu yenu baada ya kuondoka kwangu ni kila mnafiki mfaswaha wa ulimi.”[1]
Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Kabiyr” na al-Bazzaar.
[1] Swahiyh.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/164)
Imechapishwa: 05/05/2020
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/10-hadiyth-kikubwa-ninachochelea-juu-yenu/