46- Mujaahid amesema:
“Tulikuwa pamoja na Ibn ´Umar safarini. Akafika mahala pamoja akapinda ambapo akaulizwa: “Ni kwa nini umefanya hivo?” Akajibu: “Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akifanya hivi ndipo nami nikafanya.”[1]
Ameipokea Ahmad na al-Bazzaar kwa cheni ya wapokezi nzuri.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/126)
- Imechapishwa: 26/04/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)