258 – ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
“Pindi Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipokuwa akimsikia muadhini anashuhudilia, husema:
و أنا، و أنا
“Na mimi. Na mimi.”[1]
Ameipokea Abu Daawuud na tamko ni lake, Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” yake na al-Haakim ambaye amesema:
“Cheni ya wapokezi wake ni Swahiyh.”
[1] Swahiyh.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/222)
- Imechapishwa: 07/03/2022
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
258 – ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
“Pindi Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipokuwa akimsikia muadhini anashuhudilia, husema:
و أنا، و أنا
“Na mimi. Na mimi.”[1]
Ameipokea Abu Daawuud na tamko ni lake, Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” yake na al-Haakim ambaye amesema:
“Cheni ya wapokezi wake ni Swahiyh.”
[1] Swahiyh.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/222)
Imechapishwa: 07/03/2022
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/09-hadiyth-pindi-mtume-wa-allaah-swalla-allaahu-alayhi-wa-sallam-alipokuwa-akimsikia-muadhini-anashuhudilia/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)