38 – Usimshuhudilie muislamu yeyote kwa sababu ya kitendo chake cha kheri au cha shari, kwa sababu hujui ni hali gani aliyohitimisha nayo wakati wa kufa. Badala yake unatakiwa kutarajia juu yake rehema za Allaah na kukhofia kwake kutokana na madhambi yake. Isitoshe hujui alichojutia mbele ya Allaah kabla ya kufa na alichofanya Allaah kitokee katika kipindi hicho ikiwa atakufa kama muislamu. Hivyo tarajia juu yake rehema za Allaah na ukhofie kwake kutokana na madhambi yake.
39 – Hakuna dhambi yoyote ambayo mja hawezi kutubia kwayo.
40 – Kupigwa mawe ni haki.
41 – Ni Sunnah mtu kupangusa juu ya soksi za ngozi.
42 – Ni Sunnah kufupisha swalah wakati wa safari.
43 – Kuhusiana na kufunga wakati wa safari, mwenye kutaka atafunga na asiyetaka ataacha kufunga.
44 – Hapana vibaya kuswali hali ya kuwa mtu amevaa suruwali.
- Mhusika: Imaam Abu Muhammad al-Hasan bin Khalaf al-Barbahaariy (kfk. 329)
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh-us-Sunnah, uk. 79-80
- Imechapishwa: 17/12/2024
38 – Usimshuhudilie muislamu yeyote kwa sababu ya kitendo chake cha kheri au cha shari, kwa sababu hujui ni hali gani aliyohitimisha nayo wakati wa kufa. Badala yake unatakiwa kutarajia juu yake rehema za Allaah na kukhofia kwake kutokana na madhambi yake. Isitoshe hujui alichojutia mbele ya Allaah kabla ya kufa na alichofanya Allaah kitokee katika kipindi hicho ikiwa atakufa kama muislamu. Hivyo tarajia juu yake rehema za Allaah na ukhofie kwake kutokana na madhambi yake.
39 – Hakuna dhambi yoyote ambayo mja hawezi kutubia kwayo.
40 – Kupigwa mawe ni haki.
41 – Ni Sunnah mtu kupangusa juu ya soksi za ngozi.
42 – Ni Sunnah kufupisha swalah wakati wa safari.
43 – Kuhusiana na kufunga wakati wa safari, mwenye kutaka atafunga na asiyetaka ataacha kufunga.
44 – Hapana vibaya kuswali hali ya kuwa mtu amevaa suruwali.
Mhusika: Imaam Abu Muhammad al-Hasan bin Khalaf al-Barbahaariy (kfk. 329)
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh-us-Sunnah, uk. 79-80
Imechapishwa: 17/12/2024
https://firqatunnajia.com/08-kuswali-na-kufunga-safarini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)