08. Hadiyth “Hapo kale nilisikia: “Utapokuwa katika mkusanyiko wa watu… “

104- ´Abdullaah bin Bush (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:

“Hapo kale nilisikia: “Utapokuwa katika mkusanyiko wa watu ishirini au chini au zaidi ya hapo na ukaona kuwa hakuna yeyote anayeheshimiwa kwa ajili ya Allaah, basi ujue kuwa mambo si mazuri.”[1]

Ameipokea Ahmad na at-Twabaraaniy katika “al-Kabiyr” kwa cheni ya wapokezi nzuri.

[1] Nzuri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/152)
  • Imechapishwa: 02/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy