1060- Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah anapenda zitendewe kazi ruhusa Zake kama anavopenda yatendewe kazi maamrisho Yake.”[1]
Ameipokea al-Bazzaar kwa cheni ya wapokezi nzuri, at-Twabaraaniy na Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” yake.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/617)
- Imechapishwa: 22/04/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
1060- Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah anapenda zitendewe kazi ruhusa Zake kama anavopenda yatendewe kazi maamrisho Yake.”[1]
Ameipokea al-Bazzaar kwa cheni ya wapokezi nzuri, at-Twabaraaniy na Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” yake.
[1] Swahiyh.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/617)
Imechapishwa: 22/04/2020
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/08-hadiyth-allaah-anapenda-zitendewe-kazi-ruhusa-zake/