346 – Ameeleza pia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
المرأةُ عورةٌ، فإذا خرجتْ استشْرَفَها الشيطانُ
“Mwanamke ni uchi. Anapotoka nyumbani kwake basi shaytwaan humfuatishia macho.”
Ameipokea at-Tirmidhiy aliyesema kuwa Hadiyth ni nzuri, Swahiyh na ngeni, Ibn Khuzaymah na Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” zao kwa tamko lisemalo:
المرأةُ عورةٌ، فإذا خرجتْ استشْرَفَها الشيطانُ وأقربُ ما تكون من وجهِ ربِّها وهي في قَعْر بَيتها
“Mwanamke ni uchi. Anapotoka nyumbani kwake basi shaytwaan humfuatishia macho. Anakuwa karibu zaidi na Allaah anapokuwa nyumbani kwake.”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/260)
- Imechapishwa: 22/12/2023
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)