72- Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Maalik (Radhiya Allaahu ´anh) ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kutafuta elumu ni faradhi kwa kila muislamu.”[1]
Imepokelewa na Ibn Maajah na wengineo.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/140)
- Imechapishwa: 14/09/2018
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
72- Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Maalik (Radhiya Allaahu ´anh) ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kutafuta elumu ni faradhi kwa kila muislamu.”[1]
Imepokelewa na Ibn Maajah na wengineo.
[1] Swahiyh.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/140)
Imechapishwa: 14/09/2018
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/06-hadiyth-kutafuta-elumu-ni-faradhi-kwa-kila-muislamu/