16 – Mu´aadh bin Fadhwaalah ametuhadithia: Hishaam ametuhadithia, kutoka kwa Yahyaa bin Abiy Kathiyr, kutoka kwa Abu Ja´far, aliyesimulia kuwa amemsikia Abu Hurayrah akisema kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Du´aa tatu ni zenye kuitikiwa na hazina shaka yoyote; du´aa ya aliyedhulumiwa, du´aa ya msafiri, du´aa ya wazazi kwa mtoto wao.”

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Ismaa´iyl al-Bukhaariy (a.f.k 256)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Birr-ul-Waalidayn, uk. 115
  • Imechapishwa: 16/12/2024