2 – Jaabir bin ´Abdillaah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia:
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema katika Khutbah yake siku ya ´Arafah: “Je, nimefikisha?” Wakasema: “Ndio.” Akawa anaashiria kidole chake mbinguni, akiwaelekezea nacho na akisema: “Ee Allaah! Shuhudia!”[1]
Ameipokea Muslim.
[1] Hiki ni kipande cha Hadiyth ndefu ya Jaabir kuhusu hijjah yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Nimeandika kijitabu kizima juu yake ambacho kimechapishwa na kiko katika “al-Maktabah al-Islaamiy”.
- Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 80
- Imechapishwa: 12/04/2024
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
2 – Jaabir bin ´Abdillaah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia:
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema katika Khutbah yake siku ya ´Arafah: “Je, nimefikisha?” Wakasema: “Ndio.” Akawa anaashiria kidole chake mbinguni, akiwaelekezea nacho na akisema: “Ee Allaah! Shuhudia!”[1]
Ameipokea Muslim.
[1] Hiki ni kipande cha Hadiyth ndefu ya Jaabir kuhusu hijjah yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Nimeandika kijitabu kizima juu yake ambacho kimechapishwa na kiko katika “al-Maktabah al-Islaamiy”.
Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 80
Imechapishwa: 12/04/2024
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/05-uashiriaji-wa-mtume-mbinguni-na-kumuomba-allaah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)