728- Abu Qataadah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule mwenye kuacha ijumaa mara tatu pasi na dharurah, basi Allaah atapiga muhuri juu ya moyo wake.”[1]
Ameipokea Ahmad kwa cheni ya wapokezi nzuri na al-Haakim aliyesema:
“Ni yenye cheni ya wapokezi Swahiyh.”
[1] Swahiyh kupitia zengine.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/451)
- Imechapishwa: 26/04/2020
728- Abu Qataadah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule mwenye kuacha ijumaa mara tatu pasi na dharurah, basi Allaah atapiga muhuri juu ya moyo wake.”[1]
Ameipokea Ahmad kwa cheni ya wapokezi nzuri na al-Haakim aliyesema:
“Ni yenye cheni ya wapokezi Swahiyh.”
[1] Swahiyh kupitia zengine.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/451)
Imechapishwa: 26/04/2020
https://firqatunnajia.com/05-hadiyth-yule-mwenye-kuacha-ijumaa-mara-tatu/