88- Anas (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule anayetoka kwenda kutafuta elimu, basi yuko katika njia ya Allaah mpaka atakaporejea.”[1]
Ameipokea at-Tirmidhiy ambaye amesema:
“Hadiyth ni nzuri.”
[1] Nzuri kupitia zengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/146)
- Imechapishwa: 01/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
88- Anas (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule anayetoka kwenda kutafuta elimu, basi yuko katika njia ya Allaah mpaka atakaporejea.”[1]
Ameipokea at-Tirmidhiy ambaye amesema:
“Hadiyth ni nzuri.”
[1] Nzuri kupitia zengine.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/146)
Imechapishwa: 01/05/2020
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/05-hadiyth-yule-anayetoka-kwenda-kutafuta-elimu/