982- ´Uthmaan bin Abiyl-´Aaswiy (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
“Swawm ni ngao dhidi ya Moto, kama ngao zenu dhidi ya vita. Swawm nzuri ni kufunga siku tatu kila mwezi.”[1]
Ameipokea Ibn Khuzaymah katika “as-Swahiyh” yake[2].
[1] Swahiyh.
[2] Ameipokea vilevile Ahmad (4/22) kwa cheni ya wapokezi Swahiyh pamoja vilevile na an-Nasaa´iy (1/311) na (1/328) sehemu mbili tofauti. Ibn Maajah ameipokea bila ya ” Swawm nzuri ni… “.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (01/578)
- Imechapishwa: 28/05/2018
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
982- ´Uthmaan bin Abiyl-´Aaswiy (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
“Swawm ni ngao dhidi ya Moto, kama ngao zenu dhidi ya vita. Swawm nzuri ni kufunga siku tatu kila mwezi.”[1]
Ameipokea Ibn Khuzaymah katika “as-Swahiyh” yake[2].
[1] Swahiyh.
[2] Ameipokea vilevile Ahmad (4/22) kwa cheni ya wapokezi Swahiyh pamoja vilevile na an-Nasaa´iy (1/311) na (1/328) sehemu mbili tofauti. Ibn Maajah ameipokea bila ya ” Swawm nzuri ni… “.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (01/578)
Imechapishwa: 28/05/2018
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/05-hadiyth-swawm-ni-ngao-dhidi-ya-moto/