330 – Abud-Dardaa´ (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa amemsikia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
المسجدُ بيتُ كلِّ تَقِيٍّ
“Msikiti ni nyumba ya kila anayemcha Allaah… “[1]
Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Kabiyr” na “al-Mu´jam al-Awsatw” na al-Bazzaar aliyesema kuwa cheni yake ya wapokezi ni nzuri. Mambo ni kama alivosema (Rahimahu Allaah).
[1] Nzuri kupitia zingine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/253)
- Imechapishwa: 07/12/2023
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket