Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:

10 – Yuhai na hafi, Msimamizi wa kila kitu Asiyelala.

11 – Muumbaji asiyekuwa na haja, mtoaji riziki bila matatizo.

MAELEZO

Bi maana anayafanya yote hayo bila ya uzito wala kujisumbua, kama ilivyo katika ”Sharh al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah”, uk. 125.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah – Sharh wa Ta´liyq, uk. 13
  • Imechapishwa: 12/09/2024