3 – Kusherehekea mazazi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni kujifananisha na wakristo ambao wanasherehekea kuzaliwa kwa Masiyh (´alayhis-Salaam). Kujifananisha na wakristo ni jambo lililoharamishwa vibaya sana. Kumepokelewa Hadiyth zinazokataza kujifananisha na makafiri na maamrisho ya kwenda kinyume nao. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Yeyote mwenye kujifananisha na watu basi yeye ni katika wao.”[1]
Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Jitofautisheni na washirikina.”[2]
Makatazo haya ni khaswa katika yale mambo ambayo yanakumbushia nembo za dini zao.
[1] Ahmad (02/50) na Abu Daawuud (04/314).
[2] Muslim (01/222) (nr. 259).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huquwq-un-Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) bayn al-Ijlaal wal-Ikhlaal, uk. 150
- Imechapishwa: 06/09/2025
3 – Kusherehekea mazazi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni kujifananisha na wakristo ambao wanasherehekea kuzaliwa kwa Masiyh (´alayhis-Salaam). Kujifananisha na wakristo ni jambo lililoharamishwa vibaya sana. Kumepokelewa Hadiyth zinazokataza kujifananisha na makafiri na maamrisho ya kwenda kinyume nao. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Yeyote mwenye kujifananisha na watu basi yeye ni katika wao.”[1]
Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Jitofautisheni na washirikina.”[2]
Makatazo haya ni khaswa katika yale mambo ambayo yanakumbushia nembo za dini zao.
[1] Ahmad (02/50) na Abu Daawuud (04/314).
[2] Muslim (01/222) (nr. 259).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Huquwq-un-Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) bayn al-Ijlaal wal-Ikhlaal, uk. 150
Imechapishwa: 06/09/2025
https://firqatunnajia.com/04-maulidi-ni-kujifananisha-na-wakristo/