109- Ibn ´Umar ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule mwenye kutafuta elimu kwa ajili ya kujifakharisha wanachuoni, kugombana na wapumbavu na kufanya nyuso za watu zimgeukie, basi yuko Motoni.”[1]
Ameipokea Ibn Maajah.
[1] Swahiyh kupitia zengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/153)
- Imechapishwa: 03/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
109- Ibn ´Umar ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule mwenye kutafuta elimu kwa ajili ya kujifakharisha wanachuoni, kugombana na wapumbavu na kufanya nyuso za watu zimgeukie, basi yuko Motoni.”[1]
Ameipokea Ibn Maajah.
[1] Swahiyh kupitia zengine.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/153)
Imechapishwa: 03/05/2020
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/04-hadiyth-yule-mwenye-kutafuta-elimu-kwa-ajili-ya-kujifakharisha/