Ibn Maajah (1/330) amesema: Abu Bakr bin Abiy Shaybah ametuhadithia: Ghundar ametuhadithia, kutoka kwa Shu´bah, kutoka kwa an-Nu´maan bin Saalim, kutoka kwa Ibn Abiy Aws, ambaye ameeleza:
”Babu yangu, Aws, wakati mwingine alikuwa akiswali na alikuwa akinionyesha kwa ishara akiwa ndani ya swalah kwamba nimpe viatu vyake. Kisha akasema: ”Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali akiwa amevaa viatu vyake.”
Ameipokea Ibn Abiy Shaybah (2/415), at-Twahaawiy (1/512) na Ahmad (4/8-10).
al-Buuswayriy amesema:
“Cheni yake ya wapokezi ni Swahiyh.” [1]
al-Haythamiy amesema:
“Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Kabiyr”. Wasimulizi wake ni wenye kuaminika.”[2]
[1] Miswbaah-uz-Zujaajah, uk. 125.
[2] Majma´-uz-Zawaa’id (2/55).
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: as-Swalaah fiyn-Ni´aal, uk. 7
- Imechapishwa: 28/05/2025
Ibn Maajah (1/330) amesema: Abu Bakr bin Abiy Shaybah ametuhadithia: Ghundar ametuhadithia, kutoka kwa Shu´bah, kutoka kwa an-Nu´maan bin Saalim, kutoka kwa Ibn Abiy Aws, ambaye ameeleza:
”Babu yangu, Aws, wakati mwingine alikuwa akiswali na alikuwa akinionyesha kwa ishara akiwa ndani ya swalah kwamba nimpe viatu vyake. Kisha akasema: ”Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali akiwa amevaa viatu vyake.”
Ameipokea Ibn Abiy Shaybah (2/415), at-Twahaawiy (1/512) na Ahmad (4/8-10).
al-Buuswayriy amesema:
“Cheni yake ya wapokezi ni Swahiyh.” [1]
al-Haythamiy amesema:
“Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Kabiyr”. Wasimulizi wake ni wenye kuaminika.”[2]
[1] Miswbaah-uz-Zujaajah, uk. 125.
[2] Majma´-uz-Zawaa’id (2/55).
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: as-Swalaah fiyn-Ni´aal, uk. 7
Imechapishwa: 28/05/2025
https://firqatunnajia.com/04-hadiyth-babu-yangu-aws-wakati-mwingine-alikuwa-akiswali/