´Abdur-Razzaaq amepokea katika “al-Muswannaf” (1/384) kutoka kwa Ma´mar, kutoka kwa Ibn-ul-´Alaa[1] bin ´Abdillaah bin ash-Shukhayr, kutoka kwa baba yake, ambaye ameeleza:
”Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali na viatu vyake.”
Wapokezi wake ni wasimulizi Swahiyh.
[1] Anaitwa Yaziyd bin ´Abdillaah bin ash-Shukhayr, mmoja katika wasimulizi wa mtunzi.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: as-Swalaah fiyn-Ni´aal, uk. 7
- Imechapishwa: 27/05/2025
´Abdur-Razzaaq amepokea katika “al-Muswannaf” (1/384) kutoka kwa Ma´mar, kutoka kwa Ibn-ul-´Alaa[1] bin ´Abdillaah bin ash-Shukhayr, kutoka kwa baba yake, ambaye ameeleza:
”Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali na viatu vyake.”
Wapokezi wake ni wasimulizi Swahiyh.
[1] Anaitwa Yaziyd bin ´Abdillaah bin ash-Shukhayr, mmoja katika wasimulizi wa mtunzi.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: as-Swalaah fiyn-Ni´aal, uk. 7
Imechapishwa: 27/05/2025
https://firqatunnajia.com/03-hadiyth-niliswali-pamoja-na-mtume-nikamuona/