Swali 3: Je, matendo ni nguzo ya imani na sehemu yake au ni sharti la kuikamilisha?
Jibu: Imani ni maneno ya ulimi, maneno ya moyo, matendo ya moyo na matendo ya viungo vya mwili, kama ilivyosemwa hapo awali. Haitakiwi kusema kuwa matendo ni sharti la kukamilisha, kwamba yako nje ya imani, kwamba ni yenye kulazimiana na imani, kwamba inapelekea imani au kwamba ni dalili ya imani. Yote haya ni katika maneno ya Murji-ah.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: As-ilah wa Ajwibah fiy-Iymaan wal-Kufr, uk. 12
- Imechapishwa: 31/12/2025
Swali 3: Je, matendo ni nguzo ya imani na sehemu yake au ni sharti la kuikamilisha?
Jibu: Imani ni maneno ya ulimi, maneno ya moyo, matendo ya moyo na matendo ya viungo vya mwili, kama ilivyosemwa hapo awali. Haitakiwi kusema kuwa matendo ni sharti la kukamilisha, kwamba yako nje ya imani, kwamba ni yenye kulazimiana na imani, kwamba inapelekea imani au kwamba ni dalili ya imani. Yote haya ni katika maneno ya Murji-ah.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: As-ilah wa Ajwibah fiy-Iymaan wal-Kufr, uk. 12
Imechapishwa: 31/12/2025
https://firqatunnajia.com/03-yote-haya-ni-katika-aqiydah-ya-murji-ah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket