Download05-

الْحَمْدُ للَّهِ الَّذِي كَسَانِي هَذَا [الثَّوْبَ] وَرَزَقَنِيهِ مِنْ غَيْرِ حَوْلٍ مِنِّي وَلاَ قُوَّة

“Himdi zote anastahiki Allaah ambaye amenivisha nguo hii na akaniruzuku nayo pasi na uwezo wala nguvu kutoka kwangu.”[1]

[1] Wamepokea waandishi wa “as-Sunan” isipokuwa tu “an-Nasaa´iy”, Abu Daawuud (4023), at-Tirmidhiy (3458), Ibn Maajah (3285). Ni nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “al-Irwaa´-ul-Ghaliyl” (07/47).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 23/06/2018