7 – Amesema tena: Abul-Huraysh ametukhabarisha mfano wa hiyo: Hammaad ametukhabarisha: ´Aaswim al-Ahwal ametukhabarisha, kutoka kwa bwana mmoja, kutoka kwa Anas (au: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
8 – Abu Zakariyyah bin Abuy Ishaaq ametukhabarisha: al-Hasan bin Ya´quub al-Bukhaariy ametukhabarisha: Yahyaa bin Abiy Twaalib ametukhabarisha: Zayd bin al-Hubbaab ametukhabarisha: Rawh bin al-Musayyab ametukhabarisha: ´Amr bin Maalik an-Nakariy ametukhabarisha, kutoka kwa Abul-Jawzaa’, kutoka kwa Ibn ´Abbaas, ambaye amesema kuhusiana na maneno Yake (Ta´ala):
فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَانْحَرْ
”Basi swali na uchinje kwa ajili ya Mola wako!”
”Kwa maana kuweka mkono wa kulia juu ya mkono wa kushoto ndani ya swalah katika kifua.”
9 – Ibn ´Abdil-Barr amesema katika ”at-Tamhiyd”: Wakiy´ ametuhadithia: Yaziyd bin Ziyaad bin Abiyl-Ja´d ametukhabarisha, kutoka kwa ´Aaswim al-Jahdariy, kutoka kwa ´Uqbah bin Dhwahiyr, kutoka kwa ´Aliy, aliyesema kuhusiana na maneno Yake (Ta´ala):

”Kwa maana mkono wa kulia juu ya mkono wa kushoto.”[1]
10 – Hammaad bin Salamah amepokea kutoka kwa ´Aaswim al-Jahdariy, kutoka kwa ´Uqbah bin Suhbaan, kutoka kwa ´Aliy kwa maana hiyo hiyo.
11 – ´Amr bin Maalik amepokea kutoka kwa Abul-Jawzaa’, kutoka kwa Ibn ´Abbaas, aliyesema kuhusiana na maneno Yake (Ta´ala):

”Bi maana kuweka mkono wa kulia juu ya mkono wa kushoto.”[2]
”Kwa maana, kwenye kifua, kama ilivyotangulia mwanzo.”
12 – ad-Daaraqutwniy amesema: Muhammad bin Makhlad ametuhadithia: Muhammad bin Ismaa´iyl al-Hassaaniy ametukhabarisha: Wakiy´ametukhabarisha: Yaziyd bin Ziyaad bin Abiyl-Ja´d ametukhabarisha, kutoka kwa ´Aaswim al-Jahdariy, kutoka kwa ´Uqbah bin Dhahiyr, kutoka kwa ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh), aliyesema kuhusiana na maneno Yake (Ta´ala):

”Kwa maana kuweka mkono wa kulia juu ya mkono wa kushoto.”[3]
Bi maana juu ya kifua, kutokana na riwaya nyingine, na kwa sababu maana ya neno “nahr” inaashiria hivo.”
13 – as-Suyuutwiy amesema katika “ad-Durr al-Manthuur”: Ibn Abiy Shaybah amepokea katika “al-Muswannaf”, al-Bukhaariy katika “at-Taariykh al-Kabiyr”, Ibn Jariyr, Ibn-ul-Mundhir, Ibn Abiy Haatim, ad-Daaraqutwniy katika “al-Afraad”, Abush-Shaykh, al-Haakim, Ibn Marduuyah na al-Bayhaqiy katika “as-Sunan” kwamba´Aliy amesema kuhusu maneno Yake (Ta´ala):

”Kwa maana kuweka mkono wake wa kulia juu ya katikati ya mkono wake wa kushoto, kisha akaweka mikono hiyo juu ya kifua chake ndani ya swalah.”[4]
[1] at-Tamhiyd (20/77).
[2] at-Tamhiyd (20/78).
[3] as-Sunan (1/285).
[4] ad-Durr al-Manthuur (8/650).
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad Hayaah as-Sindiy (afk. 1163)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fath-ul-Ghafuur fiy Wadhw´-il-Aydiy ´alaas-Suduur, uk. 33-38
- Imechapishwa: 11/05/2026

Muhusika: ´Allaamah Muhammad Hayaah as-Sindiy (afk. 1163)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fath-ul-Ghafuur fiy Wadhw´-il-Aydiy ´alaas-Suduur, uk. 33-38
Imechapishwa: 11/05/2026
https://firqatunnajia.com/02-mkono-wa-kulia-juu-ya-mkono-wa-kushoto-juu-ya-kifua/