68- Hudhayfah bin al-Yamaan (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Fadhilah ya elimu ni bora kuliko fadhilah ya ´ibaadah na dini yenu bora ni uchaji.”[1]
Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Awsatw” na al-Bazzaar kwa cheni ya wapokezi nzuri.
[1] Swahiyh kupitia zengine.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/137)
- Imechapishwa: 13/09/2018
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
68- Hudhayfah bin al-Yamaan (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Fadhilah ya elimu ni bora kuliko fadhilah ya ´ibaadah na dini yenu bora ni uchaji.”[1]
Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Awsatw” na al-Bazzaar kwa cheni ya wapokezi nzuri.
[1] Swahiyh kupitia zengine.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/137)
Imechapishwa: 13/09/2018
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/02-hadiyth-fadhilah-ya-elimu-ni-bora-kuliko-fadhilah-ya-ibaadah-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)